October 19, 2015


Kipa Keylor Navas taratibu anaanza kuchukua nafasi na kuwasahaulisha mashabiki wa Real Madrid kuhusiana na kipa mkongwe, Iker Casillas.

Navas sasa amecheza mechi nne bila ya kuruhusu bao hata moja huku Madrid ikiendelea kutoa vipigo.


Kipa huyo raia wa Costa Rica yuko katika kiwango kizuri na ameanza kuwa gumzo kwamba kweli sasa anaweza kuvaa viatu vya Casillas.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic