November 12, 2015


Kikosi cha timu ya taifa ya Algeria kinatarajiwa kuwasili nchini leo saa 12 jioni kwa ajili ya mechi ya Jumamosi.

Algeria watafanya mazoezi siku moja kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya mechi ya Jumamosi.

Timu hiyo inatarajia kufikia katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinsky wakati Taifa Stars ipo umbali wa karibu kilomita moja katika hoteli ya Serena, zote mbili ziko katikati ya mji.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic