November 12, 2015


Kamati ya utendaji ya Simba itafanya kikao cha dharura, leo.


Kikao hicho cha dharura kinafanyika baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola.

Matola ameachia ngazi baada ya kuelezwa kwamba hakuwa akielewana na Kocha Mkuu, Dylan Kerr.

“Kweli kutakuwa na kikao cha kamati ya utendaji kuhusiana na suala hilo,” chanzo kilieleza.


Kikao hicho kitamjumuisha Rais wa Simba, Evans Aveva na taarifa za ndani zimeelza suala la kujadili atakayechukua mikoba ya Matola litachukua nafasi kubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic