Mechi ya kuwania
kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018 kati ya wenyeji Argentina na Brazil imeahirishwa kwa saa 24 mbele kutokana na mvua
kubwa iliyonyesha.
Mvua hiyo kubwa
ilisababisha Estadio Monumental Antonio Vespucio Liberti wa nchini Buenos Aires
kujaa maji.
Mechi hiyo
inatarajia kupigwa leo Saa 9 Alasiri.
0 COMMENTS:
Post a Comment