November 15, 2015

HOTELI YA VILLE DES ROSES WALIYOFIKIA STARS MJINI BILDA.
Waalgeria hawaishi figisu, maana walitaka kuanzisha tafrani makusudi na kuichelewesha Taifa Stars mara baada ya kuwasili Airport jijini Algers.


Lakini viongozi wa TFF waliongoza na kikosi cha Stars pamoja na Watanzania wengine wakawa wakali na kuweza ‘kuwawini’ Waalgeria hao.

Baada ya hapo Stars ikaanza safari hadi katika hoteli ya
Hotel Ville Des Roses katika mji wa Bilda.

Hadi sasa wachezaji wote wa Stars tayari wako hotelini wakipumzika vyumbani.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic