November 28, 2015




Inawezekana ikawa ndiyo mechi ya mchezo wa ngumi inayosubiriwa kwa hamu kubwa.
Mwingereza Tyson Fury anayekutana na kigogo kutoka Ukrain, Wladimir Klitschko.


Pambano hilo linapigwa leo kuanzia saa 3, saa za Afrika Mashariki yatakapoanza mapambano ya utanguliza pale Dusseldorf nchini Ujerumani.

Pamoja hilo limekuwa na kelele nyingi huku Furry ambaye hajawahi kupigwa akiahidi kufanya yake na kuudondosha mbuyu huo.

Ataweza, ni suala la subira tu na mwisho kusubiri mambo ulingoni.

KLITSCHKO

TYSON


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic