November 17, 2015




Mechi ya kirafiki kati ya Hispania dhidi ya wenyeji wake Ubelgiji imeahirishwa.


Mechi hiyo imeahirishwa kutokana na hofu ya masuala ya ugaidi.

Hispania walikuwa tayari kuicheza mechi hiyo, lakini hofu ya ugaidi imeilazimu serikali ya Ubelgiji kuweka msisitizo kwamba mechi haitakuwepo.

Tayari Hispania walikuwa wamewatua Brussels kwa ajili ya mechi hiyo. Lakini haitakuwepo.

Miji ya Ubelgiji iko katika ulinzi na uangalizi mkali baada ya shambulio la kigaidi Paris, Ufaransa ambalo limeua watu 129.

Inaelezwa mipango kadhaa ya shambulio hilo la kigaidi ilifanyika Ubelgiji.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic