Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bin
Slum Tyres, Nassor Bin Slum akiwa ameketi ndani ya basi ambalo alilikabidhi kwa uongozi wa klabu ya Mbeya City jijini Dar es Salaam, leo.
Muonekano wa basi hilo kwa ndani unaonekana kuwa na mvuto na upande aliokaa Bin Slum unakuwa kama sebule!
Bin Slum ni wadhamini wakuu Mbeya City
kupitia betri zao za magari za RB.
0 COMMENTS:
Post a Comment