Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bin
Slum Tyres, Nassor Bin Slum akimkabidhi ufunguo wa basi Mwenyekiti wa Mbeya
City, Mussa Mapunda.
Bin Slum ni wadhamini wakuu Mbeya City
kupitia betri zao za magari za RB na hafla fupi ya makabidhiano ya basi hilo
kutoka kwa mdhamini yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari katika mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam yalipo
makao makuu ya Bin Slum Tyres. CHEKI PICHA ZAIDI...
|
BIN SLUM AKITANDIKWA MASWALI NA WAANDISHI. |
|
BIN SLUM AKIWA NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUKAMILISHA SHUGHULI YA KUKABIDHI BASI HILO, LEO. |
|
MAPUNDA AKIWA NA MMOJA WA WAKURUGENZI WA BIN SLUM TYRES, MOHAMMED BIN SLUM |
0 COMMENTS:
Post a Comment