November 2, 2015


OZILViungo Mesut Ozil wa Arsenal, Ivan Rakitic wa Barcelona na Oscar wa Chelsea wametupia picha mtandaoni wakitangaza kiatu kipya cha Adidas.


Adidas yenye asili yake Ujerumani imepanga kuzindua kiatu hicho mwaka 2016, lakini tayari kipo mikononi mwa wachezaji hao wenye mkataba na kampuni hiyo.

Adidas imekiita kiatu hicho kama mfano mpya w maisha ya soka, kitakuwa na rangi nyeusi tupu ikiwa ni sehemu ya kurejesha enzi za Adidas mwanzoni kabisa.

RAKITIC 
OSCAR


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic