November 15, 2015


Kikosi cha Taifa Stars kimetua salama salimini nchini Algeria.


Stars imetua nchini humo ikitumia ndege ya Turkish ambayo ilipitia Istanbul tayari kabisa kwa mechi ya pili kuivaa Algeria kwa ajili ya kuwania kucheza Kombe la Dunia.

Msemaji wa TFF, Baraka Kizuguto amesema wamewasili salama na baadaye atatoa taarifa rasmi.

Stars imetua Algers saa 10 jioni na maandalizi ya mechi hiyo baada ya sare ya bao 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, jana.


Stars inatakiwa kushinda au sare ya kuanzia bao 3-3 ili kuwang’oa Algeria.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic