Msemaji wa Yanga, Jerry Muro jana aliitisha mkutano wa waandishi wa habari makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Jangwani na Twiga jijini Dar es Salaam na akapata nafasi ya kuzungumza mambo kadhaa kuhusiana na klabu, pia yeye binafsi. Angalia video hii.
0 COMMENTS:
Post a Comment