Michezo kila kukicha inavumbuliwa mipya, angalia huu, utafikiri pool table lakini watu wanapiga soka.
Wachezaji wa Arsenal, wawili kutoka Ujerumani na wawili kutoka Uafaransa walionyeshana kazi. Mwisho Wajerumani wakaibuka kidedea.
Olivier Giroud na Laurent Koscielny kutoka Uafaransa ndiyo walichuana na Wajerumani Mesut Ozil and Per Mertesacker.
0 COMMENTS:
Post a Comment