December 10, 2015


Dah! Ndiyo soka, Kocha Garry Neville ameanza na ‘mkosi’ baada ya mechi yake ya kwanza akiwa benchi kuishuhudia Valencia ikitandikwa nyumbani kwa mabao 2-0 na Lyon.


Lyon ya Ufaransa ilionekana kibonde kutoka Kundi H, lakini ushindi wake ndiyo umeiokoa Gent isonge mbele 16 bora huku Valencia ikiporomoka kwenda Europa League.

Sasa kikosi cha Neville kinakwenda kukutana na timu yake ya zamani ya Manchester United ambayo jana iliporomoka huko.

Neville anaifundisha Valencia akiwa anasaidiwa na mdogo wake, Phil Neville na wote waliowahi kuichezea Manchester United kwa mafanikio makubwa.







KINA NEVILLE WAKISHANGILIA BAO, HATA HIVYO MWAMUZI ALISEMA HILO SIO BAO. 




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic