Zifuatazo
ndiyo timu 16 zilizovuka kutoka hatua ya makundi, yaani timu mbili kutoka kila
kundi.
England
imefanikiwa kuingiza timu tatu kama ilivyo kwa Hispania na kufuatiwa na
Ujerumani na Italia zenye timu mojamoja.
Timu
inayoonekana kufeli na kuwa gumzo ni Manchester United ambayo itacheza michuano
ya Euro Cup ambayo inaonekana kama “si saizi yake”.
Kundi A -
Real Madrid (kinara), Paris Saint-Germain (nafasi ya pili)
Kundi B -
Wolfsburg (kinara), PSV Eindhoven (nafasi ya pili)
Kundi C -
Atletico Madrid (kinara), Benfica (nafasi ya pili)
Kundi D - Manchester City (kinara), Juventus (nafasi
ya pili)
Kundi E -
Barcelona (kinara), Roma (nafasi ya pili)
Kundi F -
Bayern Munich (kinara), Arsenal (nafasi ya pili)
Kundi G - Chelsea
(kinara), Dynamo Kyiv (nafasi ya pili)
Kundi H -
Zenit (kinara), Gent (nafasi ya pili)








0 COMMENTS:
Post a Comment