December 26, 2015


Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo amesema anatamani hata kulia kutokana na kutoa sare na Simba.

Mwadui FC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Mwadui FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Kambarage katika mji wa Shinyanga.

Mwadui FC walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia Nizar Khalfan kabla ya kusawazisha kupitia Brian Majegwa dakika 10 za mwisho za mechi.

“Nahisi nataka kulia, Simba ni timu ya kawaida sana, kama tungekuwa makini tusingefungwa.
Ni kosa la kiungo wangu Razak Khalfan kama angenisikiliza, tusingefungwa.


“Simba ni timu ya kawaida kama nilivyosema mapema. Kweli sijapenda kabisa,” alisema Julio.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic