Makipa wawili, Juma Kaseja na Ally Mustapha ‘Barthez’ kwa mara nyingine wamekutana tena kila mmoja akiwa akiwa timu nyingine.
Kaseja sasa ni kipa wa Mbeya City huku Barthez akiwa bado Yanga ambako Kaseja alimuacha.
Kabla ya Yanga, makipa hao walifanya kazi wakiwa pamoja Simba.
Katika mechi ya juzi, Kaseja aling’ara ingawa timu yake ilipoteza kwa mabao 3-0 na baada ya mechi walikaa pamoja na kupiga stori wakionyesha kukumbushiana mambo mawili, matatu.
0 COMMENTS:
Post a Comment