Kiungo wa Yanga, Simon Msuva usiku wa kuamkia leo
ilikuwa siku yake ya furaha akifurahia siku yake ya kuzaliwa.
Msuva alijumuika na wenzake jijini Dar es Salaam
na kusherekea kwa pamoja.
Walioungana naye walishirikiana kumwagia maji
ikiwa ni sehemu ya kumpongeza katika siku yake hiyo ya kuzaliwa.
Msuva ambaye hakutegemea tukio hilo alikuwa mpole
akiwa amejikunyata.
0 COMMENTS:
Post a Comment