Kikosi cha Arsenal hakijashinda mechi ya tatu mfululizo sasa, kama unakumbuka mechi ya mwisho ilikuwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Chelsea.
Sasa Kocha Arsene Wenger ameamua kuhamishia nguvu katika mechi ya Jumamosi, ni ya Kombe la FA na itakuwa dhidi ya Burnley.
Haitakuwa mechi laini, lakini Arsenal lazima ishinde kwa ajili ya kunyanyua morali na kuendelea kupambana kwa ajili ya kubeba ubingwa wa FA.


















0 COMMENTS:
Post a Comment