ARSENAL (4-2-3-1):
Cech, Bellerin, Koscielny, Mertesacker, Monreal, Flamini, Ramsey, Campbell (Sanchez 57mins), Ozil, Walcott (Oxlade-Chamberlain 75), Giroud (Gabriel 22)
Arsenal subs: Ospina, Gibbs, Chambers, Elneny
Sent off: Mertesacker 18
Booked: Flamini
CHELSEA (4-2-3-1):
Courtois; Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta; Mikel, Matic; Willian, Fabregas, Oscar (Hazard 77); Costa (Remy 68)
Chelsea subs: Begovic, Cahill, Baba, Loftus-Cheek, Traore
Goal: Costa 23
Booked: Oscar, Matic, Mikel
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 60,072
jamani hivi huu mpira wa uingereza mbona timu zinabebwa vibaya. yani ha3a marefa hata timu ya kilabu cha pombe hawawezi kuchezesha. yani huyu costa akijiangusha tu umepewa redcard .sioni u bora wa ligi hii .hawa chelsea hawawezi kucheza na arsenal wakiwa 11?
ReplyDeleteUliona refa kabeba mtu?
DeleteHayo ni mawazo ywko
ReplyDeletevipi uliangalia mpira na kichogo?au ndio nyie mna ngoja kuambiwa halafu mnasambaza data. hakuna mawazo ya mtu refa kabeba. na ndio kila siku
Deletepesa za mrusi zitaisha kununua mechi .alikuja uk na bilion 18 pounds. sasa hana hata 5 bilion
Deletesisi wangine mpira wa epl unatuboa. marefa wabovu sana. bora tunao angalia laliga. yani mpira wa uk ni njama tupu. huyu refa aliechezesha mechi ya arsenal vs chelsea si ndie alituua man united na goli la offside la drogba halafu akapigwa marufuku kua refa game za man united
ReplyDelete