Beki wa Simba, Hassan Kessy amerejea kazini safari hii akionyesha yuko vizuri kabisa.
Kessy ambaye alianza kufanya mazoezi siku kadhaa, hakuwa katika kiwango kizuri kama alivyoonekana jana.
Simba imekuwa ikimtumia Emiry Nimubona lakini haikuwa na akiba ya beki wa uhakika wa pembeni.
Kurejea kwa kasi, maana yake Simba imezidi kupanua kikosi na kocha Jackson Mayanja anakuwa na chaguo la kutosha zaidi anapofikia kupanga kikosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment