Simba imeitwanga URA ya Uganda kwa bao 1-0 katika mechi ya michuano ya Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, jana.
Bao pekee lilifungwa na Ibrahim Ajib Migomba. Cheki picha kadhaa za action mziki ulivyokuwa jana.
|
| GAME HAIKUWA NZURI SANA KWA LYANGA, JANA. HAPA AKIPAMABANA.... |
| NDEMLA ALIYECHEZA VIZURI JANA, AKIPAMBANA. |
| KERR AKIWAPA HI WAGANDA WA URA. |







0 COMMENTS:
Post a Comment