January 7, 2016


Mwigizaji kutoka nchini Ghana, Juliet Ibrahim na mwandishi wa habari anayefanya kazi katika running ya Supersports nchini Afrika Kusini, Robert Marawa  ndiyo watakaoendesha shughuli ya leo utoaji wa tuzo wachezaji bora barani Afrika jijini Lagos, Nigeria, leo.

Katika tuzo hizo, Tanzania inawakilishwa na mshambuliaji nyota wa TO Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta.

Samatta ameingia fainali kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa wale wanaocheza ndani ya bara hili.


Hii ni mara ya kwanza kwa Juliet kupata nafasi ya kuwa MC katika tuzo hizo lakini inakuwa ni mara ya taut kwa Malawa ambaye pia ni mtangazaji wa redo ya Metro ya jijini Johannesburg.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic