January 1, 2016


Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr ameamua kupanga mziki mzima ili Ndanda FC wahangaike nao katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, leo.

Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na Kerr katika ushambulizi amewapanga wazoefu watatu ambao ni Hamisi Kiiza na mwenzake kutoka Uganda, Brian Majegwa ambao watasaidiana na Mkenya Paul Kiongera hii ikiwa ni mara ya kwanza wanaanza pamoja.

1. Vicent Agban
2. Emiry Nimuboma
3. Mohammed Hussein 'Tshabalala'
4. Juko Murshid
5. Abdi Banda
6. Justice Majabvi
7. Danny Lyanga
8. Mwinyi Kazimoto
9. Hamisi Kiiza
10. Paul Kiongera
11. Brian Majwega

12. Peter Manyika
13. Mohammed Faki
14. Ibrahim Ajib
15. Said Ndemla
16. Awadh Juma

17. Mussa Hassan Mgosi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic