Lionel Messi amemuwahi Cristiano Ronaldo na kupiga bao la 1000 wakati Barcelona ikiitwanga Atletico Madrid kwa mabao 2-1 na kujichimbia zaidi kileleni.
Bao hilo la 1000 lilikuwa likitafutwa kwa kujumlisha mabao yao tote waliyofunga ambayo idadi take ni 999 baada ya kwa wote jumla kuwa wamecheza mechi 1,384.
Messi amefunga mabao 481 katika jumla ya mechi 611, kati ya hizo 432 akiichezea Barcelona na 49 akiitumikia timu ya taifa ya Argentina ambayo yeye ni nahodha kwa sasa.
Ronaldo amepachika mabao 518, alianza kufunga mabao 5 akiwa Sporting Lisbon iliyomlea kisoka kabla ya kujiunga na Man United aliyoifungia mabao 118, akaongeza mengine 340 akiichezea Real Madrid mechi 327. Pia ana mabao mengine 55, aliyoifungia timu yake ya taifa ya Ureno ambayo pia ni nahodha.
Messi amefunga bao hilo moja, Suarez akafunga moja, Barcelona ikashinda 2-1.
Barcelona (4-3-3): Bravo 6; Alves 7, Pique 7, Mascherano 7, Alba 7; Rakitic 6, Busquets 6, Iniesta 6; Messi 7, Suarez 8, Neymar 6.
Subs not used: Ter Stegen, Munir, Vidal, Vermaelen, Mathieu.
Goal: Messi 30, Suarez 38
Atletico Madrid (4-4-1-1): Oblak 7; Juanfran 7, Godin 5, Jimenez 6, Felipe Luis 5; Saul 7, Gabi 6 (Gamez 45) 6, Augusto 6 Fernandez, Koke 6; Carrasco 7, Griezmann 7.
Subs not used: Moya, Oliver, Martinez, Vietto.
Goal: Koke 10
Booked: Juanfran, Gabi, Partey
Red cards: Luis, Godin
Referee: Alberto Undiano Mallenco
Attendance: 94,990















0 COMMENTS:
Post a Comment