January 7, 2016


Picha nyingi zilizopigwa katika mechi ya Kombe la Mapinduzi hatua ya makundi kati ya Yanga na Azam FC, zinaonyesha wachezaji wa Azam FC ndiyo waliongoza kumzonga mwamuzi wa mchezo huo.

Wachezaji hao wakiongozwa na nahodha, John Bocco, Mudathir Mudathir na Himid Mao ndiyo mara nyingi wlaimzonga mwamuzi huyo wakilalama uamuzi aliokuwa akichukua.

Baadaye mwamuzi huyo alimpa Bocco kadi mbili za njano na kumtoa nje katika mchezo huo uliotawaliwa na vurugu mfululizo na mwisho ukaisha kwa sare ya mabao 1-1 kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic