January 11, 2016


Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema yeye ni mtu anayependa kuvunja rekodi.

Hivyo ana imani kubwa atarejea kwa kishindo na kufanya vizuri ikiwa ni pamoja na kushinda tuzo ya Ballond’Or ambayo leo imechukuliwa na Lionel Messi.

Messi ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya tano leo huku akimuacha Ronaldo akibaki na mara tatu.

Ronaldo amesema anajivunia mabao take 54 ya msimu uliopita licha ya Madrid kushindwa kufanya vema.

Lakini akaahidi msimu wa 2016-17 kuwa wake kwa kuwa atajituma kwa lento la kuvunja rekodi.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic