January 8, 2016


Mbwana Ally Samatta ndiyo wanasoka bora Afrika kwa wale wanaocheza ndani ya bara hili.

Samatta ameibuka mwanasoka bora kwa kuwashinda Muteba Kadiaba ambaye ni kipa mkongwe wa TP Mazembe na Bounedjah Baghdad wa Algeria anayekipiga Etoile du Sahel.

Samatta ametwaa tuzo hiyo kwenye utoaji utoaji tuzo za wachezaji bora zinazoendelea jijini Lagosi Nigeria.


Watanzania wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu kufanyika kwa tuzo hizo ili Samatta aweke rekodi barani Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic