Kipute cha VPL kinarudi tena kuanzia Jumamosi hii, Na mechi zitakazoruka live ndani ya Azam tv ni:
Jumamosi 16/1/2016
Simba SC v Mtibwa Sugar
Saa 10:00 Alasiri
Azam Sports HD & azam Xtra
Coastal Union v Majimaji
Saa 10:00 Alasiri
Azam TWO
Azam FC v African
Saa 1:00 Usiku
azam Xtra
Jumapili 17/1/2016
Yanga v Ndanda
Saa 10:00 Alasiri
Azam Sports HD
0 COMMENTS:
Post a Comment