February 2, 2016


HAYA BOSI SASA, PHILLIP NKINI...EEEH!!

Ndege mjanja, hunaswa na tundu bovu. Saleh Ally amekuwa na tabia ya kukimbia kufanyiwa sherehe ya kushitukiza katika siku yake ya kuzaliwa na wafanyakazi wenzake “suprise”.

Lakini leo mambo yameenda tofauti baada ya kujisahau, nao wafanyakazi wenzake wa gazeti la CHAMPIONI wakamvamia wakiwa na kesi, wakaanza kuangusha “songi” la “Kata Keki Tule”, akawa hana ujanja.

Baada ya hapo, Saleh maarufu kama Jembe akaanza kufanya kazi hiyo ya kuichambua keki na mgawo wa mlo ukafanyika kabla ya kazi kuendelea.

STAILI YAKE SASA...! OMARY MDOSE

NICO JONAS...

.....WILBERT MOLANDI AKA BABA ANDY

....NOEL JOSEPH

....SWEETBERT LUKONGE

....ASTERIA A KITULA

.....HANS MLOLI

...MOHAMMED MDOSE

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic