KOCHA JACKSON MAYANJA WA SIMBA AKIWAELEKEZA JAMBO VIJANA WAKE WAKATI WA MAZOEZI YA TIMU HIYO KWENYE UWANJA WA BOKO VETERANI JIJINI DAR ES SALAAM. |
Kama ulifikiri sare ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya African Sports ungemlaza Jackson Mayanja, basi unajidanganya.
Mayanja anaendelea kupambana kukinoa kikosi chake cha Simba kwa ajili aya mechi nyingine zijazo za Ligi Kuu Bara.
Simba imeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani ikiwa ni sehemu ya kuendelea kupambana kubadili upepo kutoka “timu ya kawaida” hadi kurejea katika upepo wa “Simba tishio”.
0 COMMENTS:
Post a Comment