February 23, 2016



Multichoice Tanzania imesikia kilio cha Watanzania wengi hasa wale wapenda michezo kwa kuamua kuwapa ofa kubwa kabisa.

Ofa hiyo itawawezesha Watanzania wengi sana waliolia kutaka wapunguziwe bei katika malipo ya mwezi ili waweze kuona Ligi Kuu England pamoja na Ligi Kuu Hispania maarufu kama La Liga. BAADA YA MUDA TUNAWALETEA TAARIFA KAMILI.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic