Msema kweli ni kipenzi cha Mungu. Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekiri kwamba ilibaki kidogo tu apoteze kazi yake hiyo.
Wenger amekiri ilibaki kidogo apoteze kazi take hiyo lakini akaokoka baada ya kushindwa ubingwa wa Kombe la FA mwaka 2004.
Wenger amesema ushindi huo wa mabao 3-2 dhidi ya Hull City ulimpunguzia presha na mabosi wake wakasahau lie rekodi mbaya ya kutochukua kombe mfululizo kwa zaidi ya miaka tisa.














0 COMMENTS:
Post a Comment