Washambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi na Luis Suarez kila mmoja amefunga hat trick na kuchukua mpira.
Katika ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Valencia, Suarez alichukua mpira kwa kufunga mabao manne na Messi akafunga matatu huku Neymar akikosa penalti. Hawa jamaa hawa, eeeh!
0 COMMENTS:
Post a Comment