MPIRA UMEKWISHAAAAAAA
Dk 90+3 Lyanga anageuka na kupiga shuti kali lakini mpira unatoka nje kidogo
Dk 90+2 Yanga sasa wanapiga pasi za kujidai kuonyesha wameridhika na bao
DK 90+1 Mwinyi anachonga krosi safi kwenye lango la Simba lakini mpira unaokolewa
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 90, Ngoma anatoka kasi kabisa lakini mpira unawahiwa na Tshabalala na kuurudisha kwa kipa wake
Dk 89 Lyanga anapiga kichwa safi, Barthez anaokoa, unamkuta Majabvi naye anaonyesha kutokuwa makini
Dk 88, Lyanga anaingia vizuri lakini Bossou analala na kutoa kona
SUB Dk 86 Barthez analambwa kadi ya njano baada ya kupoteza muda
Dk 84, Tshabalala anapiga krosi safi kabisa, inakuta Lyanga, anaokoa badala ya kulenga lango. Barthez yupo chini....
Dk 82, Msuva anaingia vizuri kabisa mbele ya Kessy. Anapiga vizuri lakini mpira unatoka nje kidogo tu
SUB Dk 80, Simba inamtoa Ajib na nafasi yake inachukuliwa na Bryan Majwega
KADI Dk 79 Msuva analambwa kadi ya njano kwa kuupiga mpira kwa makusudi baada ya mwamuzi kuwa ameishapuliza kipyenga
Dk 76, Ngoma anampa pasi nzuri MSuva, anaingia vizuri na kupita shuti kali lakini linapita juu kidogo
GOOOOOOOOOO Dk 72 Tambwe anafunga bao kwa ulaini kabisa baada ya uzembe wa kupindukia wa safu ya ulinzi, Juuko alishindwa kumdhibiti. Tambwe aliunganisha krosi safi kabisa ya Mwahiuya
KADI Dk 69 Mwamuzi Jonnesia anamramba Tambwe kadi ya njano. Lakini inaonekana kama Mkude alikusudia kumpiga lakini akamkosa naye akajiangusha
SUB Dk 64 Yanga inamtoa Kaseke na nafasi yake inachukuliwa na Geofrey Mwashiuya
Dk 62, Ajib anampa Ndemla pasi safi ya kisigino lakini Ndemla anashindwa kufanya lolote kwa kupiga fyongo
SUB Dk 59, Simba wanamtoa Hamisi Kiiza na nafasi yake inachukuliwa na Danny Lyanga
Dk 58 Ajib anamtoka vizuri Pato, lakini anapiga krosi fyongo kabisa
Dk 55, Yanga wanafanya shambulizi kali, Ngoma anapiga shuti kali linababatizwa mabeki wa Simba na kuokolewa
Dk 54, Msuva anaingia kwa kasi, anampa Tambwe pasi safi safi lakini anapiga shuti butuuuuu
SUB DK 53 Yanga wanamtoa Niyonzima na nafasi yake inachukuliwa na Simon Msuva
Dk 49, Kiiza anamzidi ujanja Bossou na kupiga shuti lakini linadakwa kiulaini na Barthez
Dk 48, Mwinyi anapiga krosi safi kabisa, lakini mpira unampita Tambwe aliyechelewa
Dk 47 Simba wanagongeana vizuri, Kiiza anampa Ajib, naye anamrudishia Ndemla, anamrudishia tena lakini mpira unamgonga Ajib na kutoka nje
SUB Dk 46 Simba wanamtoa Mwinyi Kazimoto na nafasi yake inamuingiza Novat Lufunga
MPIRA NI MAPUMZIKO
DAKIKA 2 ZA NYONGEZA
Dk 45, Kessy anachonga mpira wa adhabu safi kabisa kichwani kwa Kiiza lakini Pato anaruka na kuokoa vizuri kabisa
Dk 44, Kessy anaingia vizuri zaidi lakini Mwinyi anaokoa na kuwa kona ya sita ya Simba, inaokolewa na Bossou na kuwa kona tena. Kessy anachonga kona ya saba inaokolewa kiulauniiii
Dk 42, Kazimoto anamrukia Tambwe mgongoni na mwamuzi anamuonya kwa maneno
GOOOOOOOO Dk 39 Ngoma anaifungia Yanga bao la kwanza kutokana na uzembe wa beki Kessy aliyempa kipa mpira mfupi, Ngoma akauwahi na kumpiga chenga kipa na kupachika wavuni
Dk 35, Kessy anaingia vizuri lakini Mwinyi anaupiga mpira na kuwa kona, mchezaji mmoja wa Yanga anaonekana kama kashika. Mwamuzi Jonnesia anasema hapana
Dk 32, Kaseke anamtoka Tshabalala na kupiga krosi lakini mpira unamzidi kimo Ngoma na Simba wanaokoa
Dk 30, Tambwe anapiga shuti, lakini mwamuzi anasema ni offsidde
Dk 28, Ngoma anamtoka Majabvi na kupiga krosi nzuri lakini Juuko anaokoa vizuri kabisa
Dk 26, Kamusoko anapiga faulo safi kabisa lakini mpira unapita juu kidogo
KADI NYEKUNDU Dk 25 Abdi Banda analambwa kadi ya njano kwa kumwangusha Ngoma na mwamuzi anatoa kadi ya pili ya njano. Hata hivyo, haikuwa faulo kubwa kiasi hicho
Dk 24, Simba wanapiga kaunta attack, Ajib na Kiiza wanagongeana vizuri na kuingia katika eneo la hatari lakini Yanga wanaokoa. Nao wanajibu shambulizi.
KADI Dk 22, kadi ya njano ya kwanza, Banda analambwa kadi ya njano kwa kumwangusha Ngoma
Dk 18, Kessy anachonga kona safi, inatua mguuni kwa Mkude anapiga shuti kali linagonga mwamba kwa chini. Yanga wanaokoa, kona tena. Inachongwa lakini Yanga wanaokoa. Kipa Barthez yuko chini pale

Dk 17, Kessy anajaribu kumtoka Mwinyi lakini anatoa na kuwa kona ya tatu ya Simba, Yanga bado hawajapata hata moja.
Dk 15, mwamuzi Jonesia anamwonya Juma Abdul kwa kuwangusha kwa makusudi Kazimoto
Dk 14 anarudisha mpira mkuubwaa langoni mwake, unamshinda kipa Barthez, unakuwa kona. Simba wanachonga kona lakini haina mashara.
Dk 13, Kamusoko anapiga shuti la mpira wa adhabu, unawababatiza mabeki wa Simba na kuokolewa na Banda

Dk 12, Kessy anamwangusha Niyonzima na mwamuzi Jonnesia anamwonya Kessy kwa maneno
Dk 10, krosi safi ya Tshabalala, Kiiza anapiga shuti kali, mpira unambabatiza Bossou na kuokolewa na Twite
Dk 1 ahadi 8, timu zinaonekana kusomamana na wachezaji hawajatulia kutokana ana tension ya mechi.
YANGA:
SIMBA:

1. Ally Mustapha ‘Barthez’
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Pato Ngonyani
5. Vicent Bossou
6. Mbuyu Twite
7. Deus Kaseke
8. Thabani Kamusoko
9. Amissi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Haruna Niyonzima
SUB
Deo Munish
Malimi Busungu
Nadir Harub
Geofrey Mwashiuya
Oscar joshua
Issofou Boubacar
Simon Msuva
SIMBA:
1. Vicent Agbani
2. Hassan Kessy
3. Mohammed Hussein ‘Tshabalala’
4. Juuko Murshid
5. Abdi Bhanda
6. Justuce Majabvi
7. Mwinyi Kazimoto
8. Jonas Mkude
9. Hamisi Kiiza
10. Ibrahim Ajibu
11. Said Ndemla
SUB:
Peter Manyika
Emry Nimubona
Lufungo
Awadh Juma
Dani Lyanga
Mussa Mgosi
Brian Majwega

Jamani kiiza si alisema akipangwa bassou atafunga tu vp mbona wamemtoa
ReplyDeleterefa ni mpuuzi , mbona wachezaji wengine kawaonya kwa maneno lakini banda hakuonywa kwa maneno au sheria ni tofauti ?
ReplyDeleteUnajua katika mechi ya jana mashabiki wengi wa simba wanamlaumu Refa kwa kumwonyesha kadi ya njano ya pili(ambayo hubadilika kuwa nyekundu)beki Abdi Banda dakika ya 25 ya mchezo. Ila tukichunguza zaidi lile kosa alilolifanya tunaona kabisa kwamba refa alikuwa sahihi na Banda alistahili kutolewa kwa kadi nyekundu. Ngoma alipojipigia mpira mrefu ili aukimbilie, Banda akamzuia Ngoma na macho yake moja kwa moja yalionesha ana lengo la kumzuia tu Ngoma na hata mpira alikuwa hauangalii. Hii inaonesha kwamba alipanga kwa makusudi afanye kosa kama lile. Nadhan kama Banda angemzuia tu Ngoma huku uso wake ukiwa umeukabili mpira, refa asingemwonesha kadi na badala yake ingekuwa ni kosa la kawaida lililohitaji kupigwa kwa adhabu ndogo tu.
ReplyDelete