Real Madrid imezidi kujiweka katika wakati mgumu katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga baada ya kubanwa kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Malaga.
Cristiano Ronaldo alifunga bao moja lakini akakosa penalti na Malaga wakaonyesha wanaweza na hawakubali kufungwa nyumbani.
0 COMMENTS:
Post a Comment