Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Simba, Haji Sunday Manara ameamua kuwakumbuka watoto yatima baada ya kutembelea na kutoa misaada katika kituo watoto yatima cha Umra cha jijini Dar es Salaam.
Manara alitoa vitu mbalimbali kama unga, mafuta, maji na vingine vingi kwa ajili ya watoto hao yatima.
Manara amesema: "Hata ukiwa masikini haina maana usisaidie hata kidogo ulichonacho, lengo ni kugawana na kuonyesha upendo kwa wote."
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete