Lionel Messi amefunga bao la 300 na 301 La Liga wakati akiisaidia Barcelona kuishinda Sporting Gijon kwa mabao 3-1.
Luis Suarez alifunga moja, hata hivyo alikosa mkwaju wa penalti ambao ungemuwezesha kuibuka na mabao mawili katika mechi hiyo.
VIKOSI:
Sporting Gijon (4-2-3-1):
Cuellar 5.5, Lora 5.5, Lichnovsky 6, Mere 5.5, Canella 6.5, Mascarell 6, Nacho Cases 5.5, Perez 5 (Isma 69, 6), Halilovic 8, Menendez 7.5 (Barrera 74, 6), Castro 7.5 (Jony 68).
Booked: Mere.
Goal: Castro 27.
Barcelon(4-3-3):
Bravo 6, Vidal 7, Pique 6.5 (Bartra 81), Mathieu 6, Adriano 5.5, Busquets 6.5 (Mascherano 81), Rakitic 6.5, Arda Turan 7, Messi 9, Suarez 8.5, Neymar 7.5.
Booked: Busquets.
Goals: Messi 25, 31, Suarez 67.
Ref: Ricardo de Burgos Bengoetxea.
Attendance: 28,140


















0 COMMENTS:
Post a Comment