February 12, 2016


Ndege waliyotakiwa kuondoka nayo mabingwa wa Tanzania, Yanga kwenye Mauritius imepata hitilafu.

Yanga ilitarajiwa kuondoka leo saa 11 alfajiri jijini Dar es Salaam kwenda Mauritius na ingekuwa angani kwa saa nne na nusu.

Lakini sasa kikosi kizima cha Yanga kitaondoka leo saa 6 mchana baada ya ndege hiyo kuwa imerejea katika hali ya kawaida.

Taarifa zinaeleza mafundi walikuwa wakilishughulikia tatizo hilo ambalo lilielezwa kuwa ni la kawaida.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic