| UGANDO KAZINI... |
Kiungo kinda wa Simba, Hija Ugando ni majerudi na atakaa nje kwa wiki mbili kabla ya kurejea uwanjani.
Ugando ambaye alianza kuaminiwa na Kocha Jackson Mayanja ameanza kwa kuikosa mechi dhidi ya Yanga ambayo Simba ililala kwa mabao 2-0.
“Kweli Ugando atakuwa nje kwa wiki mbili, ni jambo la kusikitisha kwetu kwa kuwa tulikuwa tunamhitaji zaidi kipindi hiki,” kilieleza chanzo cha uhakika.
Ugando tayari alionyesha mwelekeo mzuri tokea aanze kupewa nafasi ya kucheza na Mayanja raia wa Uganda.







0 COMMENTS:
Post a Comment