Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta ametupia mtandaoni picha akiwa pamoja na viungo wawili nyota zaidi hasa wakati huo, Haruna Moshi ‘Boban’ na Salum Abubakarr ‘Sure Boy’.
Samatta ametupia picha hiyo akionyesha kumbukumbu ya wakati huo, kwa pamoja walikuwa wakiitumikia Taifa Stars.
Bila ya kujali walivyofanikiwa, watatu wote ni kati ya wachezaji wenye vipaji vya zawadi ya Mungu ambavyo Tanzania imewahi kuzawadiwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment