February 1, 2016


GUARDIOLA...

Kocha Pep Guardiola ndiye atakuwa kocha wa Manchester City kuanzia kipindi cha majira ya joto, hilo limethibitishwa na uongozi wa klabu hiyo.

Guardiola ambaye sasa anainoa Bayern Munich atachukua nafasi ya Manuel Pelegrini ambaye amethibitisha kwamba anajua kila kitu na Man City imemuweka wazi katika kila kitu.

Guardiola anasaini mkataba wa miaka mitatu kuinoa City akiwa anaachana na Bayern Munich na kukamilisha kiu yake ya kufundisha Premier League baada ya kufanya vizuri akiwa na Barcelona kwenye La Liga na Bayern Munich kwenye Bundesliga.


BARCELONA:
La Liga: 2008–09, 2009–10, 2010–11
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12
Supercopa de EspaƱa: 2009, 2010, 2011
UEFA Champions League: 2008–09, 2010–11
UEFA Super Cup: 2009, 2011
FIFA Club World Cup: 2009, 2011

BAYERN MUNICH: 
Bundesliga: 2013–14, 2014–15
DFB-Pokal: 2013–14
UEFA Super Cup: 2013

FIFA Club World Cup: 2013


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic