Kikosi cha Atletico Mineiro cha Brazil, kimetambulisha jezi zake mpya kwa mtindo wa aina yake.
Atletico Mineiro ambayo anaichezea mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na Man City, Robinho kilitambulisha jezi zake kwanza kwa kutumia warembo waliopita jukwaani.
Baada ya hapo, mrembo mmojammoja akapita na mchezaji kabla ya wachezaji wakiongoza na Robinho ,30, nao kupita jukwaani wakiwa na jezi pamoja na bendera.













0 COMMENTS:
Post a Comment