Klabu ya Manchester United, iko tayari kumuachia mshambuliaji wake na nahodha, Wayne Rooney aende.
Klabu inayomtaka itoe pauni milioni 100 na inaonekana kwa sasa klabu zinazoweza kumnunua kwa kitita hicho “mlima” ni kutoka nchini China.
China wameonekana kuwa tisho kwa kumwaga mamilioni ya fedha kuwapata wachezaji nyota kutoka barani Ulaya.








0 COMMENTS:
Post a Comment