February 13, 2016


Jomo Cosmos imeitandika Free State Stars kwa bao 1-0 huku Mtanzania Mrisho Ngassa akitokea benchi na kuingia katika dakika ya 82.

Ngassa aliingia kuchukua nafasi ya Danny Wayne Venter, hata hivyo hakuweza kuisaidia  timu yake kujikomboa na bao la Cheslyn Jampies katika dakika ya 53.


Bado mambo si mazuri sana kwa Ngassa Afrika Kusini, kwani bado hana nafasi ya uhakika katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic