February 10, 2016


Suala la mashabiki kupinga bei za tiketi linazidi kuchukua sura mpya baada ya mashabiki wa Borussia Dortmund ya Ujerumani kupinga kwa aina yake.

Mashabiki hap waliingia na vileness uwanjani na wakaanza kuvitupa wakati mechi ikichezwa kwenye michuano ya Kombe la Ujerumani.

Dortmund ilikuwa inacheza na Stuttgart na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.

Mashabiki hao wakaanza kuvurumisha vitenesi hivyo uwanjani bila ya woga, hali ilivyowafanya wachezaji waanze kufanya kazi ya kuviondoa.

Siku tatu zilizopita, mashabiki wa Liverpool, waliondoka uwanjani kupinga beki wakati timu yao ikiwa katika mechi ya Ligi Kuu England.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic