VIDEO: PATA UTAMU WA BAO LA AJIB, ALIANZA MMOJA, WA PILI, KIPA HALAFU BAO SIMBA IMEISHINDA MGAMBO SHOOTING KWA MABAO 5-1, LAKINI GUMZO NI BAO LA IBRAHIM AJIB AMBAYE ALIWACHAMBUA MABEKI WAWILI KABLA YA KUMKALISHA CHINI KIPA, HALAFU AKAFUNGA. CHEKI VIDEO HAPO CHINI
Makocha wa kigeni ni shida kutokana na lugha,
ReplyDeleteenglish ni shida kwa wachezaji wengi tanzania.