February 28, 2016


Hii ni rekodi; Wabrazil watatu wote wamekosa penalti katika mechi ya fainali ya Kombe la Capital One.

Katika mechi hiyo iliyozikutanisha Man City dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Wembley, mechi ililazimika kwenda kwa dakika 30 na baadaye mikwaju ya penalti.

Man City ndiyo walioibuka na ubingwa kwa penalti 3-1 mwisho wa mchezo huo.


Kwa upande wa Liverpool, Wabrazil kiungo Lucas na mshambuliaji Coutinho walikosa penalti baada ya kipa wa Man City kuzipangua huku Fernandinho akianza kukosa kwa mkwaju wake kugonga mwamba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic