Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo.
Yanga chini ya Kocha Hans van der Pluijm, imerejea mazoezini kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam na kujifua kwa ajili ya mechi zijazo.
Yanga bado “inanukia” ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba, Jumamosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment