February 8, 2016








Unaweza ukasema huu ni msala! Beki wa Chelsea Kurt Zouma atakaa nje kwa miezi sita.

Zouma aliumia katika mechi dhidi ya Manchester United jana wakati akishuka baada ya kuruka kupiga mpira.
Maana take beki huyo kutoka Ufaransa atakosa msimu wore wa Ligi Kuu England.


Pia atakosa michuano ya Euro 2016 ambayo inafanyika nchini mwaka Ufaransa na alikuwa mmoja wa kikosi cha timu ya taiga ya Ufaransa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic